Hatua za
  1. Fungua Mipangilio → Usalama → Namba ya usalama.
  2. Ilinganishe na skrini hiyo hiyo kwenye kifaa cha mwenzako, ana kwa ana au kwenye simu mnayoiamini.
  3. Ikiwa imebadilika na hakuna aliyesakinisha upya, uliza sababu kabla ya kuandika chochote nyeti.

Vizuri kujua

  • Ilinganishe ana kwa ana au kwenye simu. Ikilingana, ni ninyi wawili tu mnaoweza kusoma jumbe zenu.