Simu
- Bonyeza na ushikilie ujumbe na uchague Hifadhi.
- Uupate baadaye kwenye Mipangilio → Vilivyohifadhiwa.
- Uguse hapo ili kurudi pale ulipoandikwa.
Tableti

Kompyuta
- Bofya kulia kwenye ujumbe na uchague Hifadhi.
- Uupate baadaye kwenye Mipangilio → Vilivyohifadhiwa.
- Ubofye hapo ili kurudi pale ulipoandikwa.