Simu
- Bonyeza na ushikilie ujumbe na uchague Chagua.
- Gusa nyingine unazotaka.
- Gusa Sambaza chini na uchague unakozituma.
Tableti
- Bonyeza na ushikilie ujumbe na uchague Chagua.
- Gusa nyingine unazotaka.
- Gusa Sambaza chini na uchague unakozituma.
Kompyuta
- Bofya kulia kwenye ujumbe na uchague Chagua.
- Bofya nyingine unazotaka.
- Bofya Sambaza chini na uchague unakozituma.