- Gusa uso ulio kando ya kisanduku.
- Gusa stika ili kuituma.
- Ili kubaki na stika uliyotumiwa, ibonyeze na uishikilie kisha uchague Ongeza kwenye stika.
Stika
Stika za Pearl zimo ndani ya programu, kwa hiyo zinatumia data kidogo sana na zinaonekana wazi kwa ukubwa wowote.
WapiUso ulio kando ya kisanduku
Onyesho la mwendo
Inapakia…